Baba Kikwete uko wapi???

dude,ulifurahiya sana nchi kuingiliwa na ugaidi,mijadala ya kidini ili dini moja iitawale dini nyingine kwa kodi ya walipa kodi wadini zote,ulifurahia ,ulifurahia mahakama za kidini zijadiliwe katika bunge la jamhuri ya muungano wakati nchi hii haina dini ila watu wake ndo waabudu Mungu na mungu,DUDE,NOPE,BETTER BE A LION FOR ONE DAY RATHER THAN A SHEEP FOR 100ERS, WACHA DR,JPMAWASHUGHULIKIE,AIWEKE NCHI SAWA,AIOKOE NA UBAGUZI WA NAMNA YOYTE
matusi na kejeli za kidini bila kuchukuliwa hatua wahusika,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…