mbeyakwetu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 723
- 394
nitakuja nikipata million saba mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dude,ulifurahiya sana nchi kuingiliwa na ugaidi,mijadala ya kidini ili dini moja iitawale dini nyingine kwa kodi ya walipa kodi wadini zote,ulifurahia ,ulifurahia mahakama za kidini zijadiliwe katika bunge la jamhuri ya muungano wakati nchi hii haina dini ila watu wake ndo waabudu Mungu na mungu,DUDE,NOPE,BETTER BE A LION FOR ONE DAY RATHER THAN A SHEEP FOR 100ERS, WACHA DR,JPMAWASHUGHULIKIE,AIWEKE NCHI SAWA,AIOKOE NA UBAGUZI WA NAMNA YOYTE*Kikwete uko wapi.*???
Ni mwanzo wa mwaka tunaomba msamaha kwa kuwa tulifanya makosa bila kujua, mzee tutakukumbuka sana tunakumbuka katika uongozi wako umefanya mazuri sana ukilinganisha na sasa.
Nakumbuka haya tu.
1. Ulilipa wanaoitwa wafanyakazi hewa wote.
2. Ulitoa mikopo kwa wanachuo wa vyuo tena kwa asilimia kubwa tu hata kama zilichelewa.
3. Ulitoa ajira kwa wahitimu wote wa ualimu na kada zingine kwa muda muafaka.
4. Haukuyumbisha elimu ,na waliokuwa udom, haukuwaita vilaza,na haukubadilisha viwango vya ufaulu kinyemela Baba.
5. Baba wafanyakazi walipata posho za vikao.
6. Baba ulikuwa na moyo wa uvumilivu ,wanasiasa walikusema sana ila haukuwaweka gerezani kama alivyowekwa kamanda lema.
7. Baba vyama vilipiga mikutano kadiri walivyokuwa wanaweza, walifanya siasa kadri walivyokuwa wanaweza.
8. Baba pole sana walikusema sana eti wewe ni mpole lakini upole wako watu walikuwa na "freedom of speech"
9. Baba tuliona bunge LIVE,tuliwasikia wabunge wetu wakisema bungeni na walikusema sana ila uliwavumilia.
10. Baba ni mengi sana japo kulikuwa na ESCROW, EPA,Richmond, lakini haya hayukukusababishia kufunga tv, yakitokea sasa hivi hata REDIO ZITAZIMWA.
*BABA UKO WAPI TUNATAMANI UPEWE HATA UKUU WA MKOA TUHAMIE MKOA UTAKAOKUWA WEWE.*