Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
kubaka na kulawiti tofauti yake nini?
Hapo kulawiti inajalisha jinsia!auUkiona neno kubaka liko pamoja na kulawiti basi ujue maana zake ni tofauti kama hapa kubaka ni mbele na kulawiti ni nyuma.
Ila kikitajwa kimoja huwenda ikawa na maana zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kubakwa bila ya kulawitiwakubaka na kulawiti tofauti yake nini?
Sisi kila siku tunashauri, kuhasi ndiyo muarobaini wa hili tatizo.Ahasiwe huyo ana matumizi mabaya ya mb.o!
Sisi kila siku tunashauri, kuhasi ndiyo muarobaini wa hili tatizo.
Kufunga haisaidii, ndiyo maana wapo tu mku'rape'!
Ziking'olewa tunakuwa na imani naye 100%, hata tukimuachia mtoto alee, hawezi kufanya kitu.
Anakuwa ni nyoka aliyeng'olewa meno, hawezi kung'ata.
Sent using Jamii Forums mobile app