Baba Levo achakua fomu ya ubunge, je unafikiri wagombea hawa wanauwezo wa kusimamia sheria na serikalii ipasavyo ?

Baba Levo achakua fomu ya ubunge, je unafikiri wagombea hawa wanauwezo wa kusimamia sheria na serikalii ipasavyo ?

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Baba Levo achakua fomu ya ubunge, je unafikiri kuna haja ya kurekebisha utaratibu na sifa za mtu kuwa mbunge asiwe mtu yoyote tu awanie ubunge ?

Uwepo wa wabunge wasio na uwezo unaweza kupelekea bunge kuwa dhaifu. na nchi kuwa na mwelekeo mbovu ikiwemo kisheria, kiuchumi, kielimu, kutokuwepo kwa haki, huku wengi wa wananchi wakiangukia kwenye umaskini, bila kusahau uwepo wa mikataba mibovu.


FB_IMG_17512219278180633.jpg
ani
 
baba levo achakua fomu ya ubunge, je unafikiri kuna haja ya kurekebisha utaratibu na sifa za mtu kuwa mbunge asiwe mtu yoyote tu awanie ubunge ?

Uwepo wa wabunge wasio na uwezo unaweza kupelekea bunge kuwa dhaifu. na nchi kuwa na mwelekeo mbovu ikiwemo kisheria, kiuchumi, kielimu, kutokuwepo kwa haki, huku wengi wa wananchi wakiangukia kwenye umaskini, bila kusahau uwepo wa mikataba mibovu.


View attachment 3388777ani
Hawawezi

Amandla...
 
Back
Top Bottom