Baba Levo adai kushambuliwa na Harmonize

Baba Levo adai kushambuliwa na Harmonize

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Mwanamuziki na mtangazaji wa Wasafi Fm Babalevo adai kushambuliwa na mwanamuziki Harmonize.

Baba Levo ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram. Pamoja na kutoa taarifa hiyo Baba Levo hajaweka wazi sababu ya kushambuliwa na mwanamuziki huyo.

Screenshot_20240211-093518.jpg
 
Mwanamuziki na mtangazaji wa Wasafi Fm Babalevo adai kushambuliwa na mwanamuziki Harmonize.

Baba Levo ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram. Pamoja na kutoa taarifa hiyo Baba Levo hajaweka wazi sababu ya kushambuliwa na mwanamuziki huyo.

View attachment 2900437
ni shambulio la mwili, shambulio la kisakolojia, shambulio la kiroho au shambulio la kimtandao 🐒

aeleze tu kinagaubaga na kwa uwazi anajificha nini kwenye kamera 🐒
 
Badala ya kutoa taarifa Polisi, eti ametoa taarifa Instagram. Machawa bhanaa!!!! [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom