Mkuu naomba hiyo videoMwanamuziki na mtangazaji wa Wasafi Fm Babalevo adai kushambuliwa na mwanamuziki Harmonize.
Baba Levo ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram. Pamoja na kutoa taarifa hiyo Baba Levo hajaweka wazi sababu ya kushambuliwa na mwanamuziki huyo.
View attachment 2900437
Naingoja sana hiyo clip, nimefurahi 🤣🤣Amezidi mdomo acha apigwe
Kwakweli yule baba kiherehere chake kinakeraaNaingoja sana hiyo clip, nimefurahi 🤣🤣
🤣🤣🤣Naingoja sana hiyo clip, nimefurahi 🤣🤣
ni shambulio la mwili, shambulio la kisakolojia, shambulio la kiroho au shambulio la kimtandao 🐒Mwanamuziki na mtangazaji wa Wasafi Fm Babalevo adai kushambuliwa na mwanamuziki Harmonize.
Baba Levo ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram. Pamoja na kutoa taarifa hiyo Baba Levo hajaweka wazi sababu ya kushambuliwa na mwanamuziki huyo.
View attachment 2900437