McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu
Kumbe huyu jamaa alikuwa serious kuhusu kuchukua fomu na kugombea Ubunge wa Kigoma Mjini
Naona leo amewasili mkoa wa kigoma kwaajili ya kukamilisha hatua za uchukuaji wa fomu za kutia nia ya kugombea ubunge kigoma mjini kupitia tiketi ya CCM
Yaani mtu anaishi Dar lakini anaenda kugombea Ubunge Kigoma Mjini. Ni aibu sana
Yaani inaonekana kigezo cha kuchukua fomu CCM ni uwe unapumua tu