Swali zuri sanaKwani kutakua na uchaguzi October?
Upo aana tuKwani kutakua na uchaguzi October?
TEC wanasali Novena sasa tutaona damu ya Yesu na ndumuz nani atashinda.Upo aana tu
Wazee wa ndumuz watautazama kwa mbali
Usilaji…TEC wanasali Novena sasa tutaona damu ya Yesu na ndumuz nani atashinda.
Milele AminaUsilaji…
Kwa sisi wakatoliki tunaamini sana kwenye nguvu ya maombi ya walio na utakaso
Tumsifu Yesu kristu