Baada ya mwananchi wa Jimbo la Kigoma Mjini Kata ya Kagera kueleza kero wanazokumbana nazo akimuomba Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Clayton Chipando Maarufu Baba Levo kuwa endapo atapata ridhaa ya nafasi hiyo basi awasaidie
Miongoni mwa Kero alizoeleza ni Kodi za meza sokoni ambayo ni elfu 9000 kwa mwezi na kuwa ukichelewa kulipa meza inang'olewa
Baba Levo amejibu kwa kuandika "Nimesikia Kilio Cha Watu Wangu Kagera" kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram