Baba Levo apewa PhD ya heshima, asema kuanzia sasa tumuite Dokta

Hii nchi kwa ujumla wake ipewe heshma ya udaktari wa heshima tujue moja.
 
Ni muda muafaka nami nikachukue PhD kutoka Zion
 
Hivi hata hizi college ambazo hazitoi hata degree zina uwezo wa kumtunukia mtu udaktari
 
Hahahahah

Usiwe serious Tanzania utapata vidonda vya Tumbo Binamu

Kwanza imeandikwa Phd badala ya PhD

Academic certificate imeweka mpaka jina la utani la Baba levo

Hivi hata hizi college ambazo hazitoi hata degree zina uwezo wa kumtunukia mtu udaktari
 
Hadi vyuo vya NACTE vinatoa PhD [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…