Baba Levo apewa PhD ya heshima, asema kuanzia sasa tumuite Dokta

Baba Levo apewa PhD ya heshima, asema kuanzia sasa tumuite Dokta

Kwani hicho chuo kinatoa PhD?
Pia huwezi kuitwa Dr Kwa udaktari wa heshima unaotunukiwa na chuo.
 
Hicho cheti kilivyoandikwa tuu ni majanga [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wale wenye PhD za ukweli mnaonaje mkawashitaki Hawa wanaotania Taaluma + Tahasusi zenu

Nilitaka kuandika hili nikaacha
Ila wanabebwa na hao hao wanazotoa maana wanajua na wao wengi wamepata kwa kukariri tu maana hata box hawezi kulikunja likifunguliwa let alone kuvumbua kwa akili zake
 
Back
Top Bottom