Pre GE2025 Baba Levo atangaza kuzunguka nchi nzima kukagua miradi ya Samia kwenye kampeni ya "Mama Hana Deni". CCM ndo mmeishiwa kiasi hiki?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu,

Zamani CCM ilikuwa Ina think tanks ambao pia walikuwa ni mouthpiece za chama, sijui nini kimetokea mpaka wakachange gear na kuanza kumtumia mtu kama Baba Levo kwenye mambo yao.

Baba Levo kwa sasa anazunguka mikoa yote kuonesha miradi aliyofanya Samia.

Ni Baba Levo huyu huyu ambaye alishawahi kusema kuwa yuko tayari "kumzalia" Diamond na ni huyu huyu ambaye anajulikana kwa tabia zake za kucheza kamari.

Kwanini kazi hii asingeifanya Nape au hata Mwana FA?

Hizi ni dalili kuwa hiki chama kinapumulia mashine

View attachment 3234518
Zamani CCM ilikuwa Ina think tanks ambao pia walikuwa ni mouthpiece za chama, sijui nini kimetokea mpaka wakachange gear na kuanza kumtumia mtu kama Baba Levo kwenye mambo yao.😂
 
Hongera sana Baba Levo kwa kuendelea kuokota maokoto ili kesho yako binafsi iwe njema.

Kuna vijana hawajui wale nini leo ila nao wako msitari wa mbele kumnanga Baba Levo ambaye amejitafuta kwa shida akatoboa kupitia uchawa.
 
Wakuu,

Zamani CCM ilikuwa Ina think tanks ambao pia walikuwa ni mouthpiece za chama, sijui nini kimetokea mpaka wakachange gear na kuanza kumtumia mtu kama Baba Levo kwenye mambo yao.

Baba Levo kwa sasa anazunguka mikoa yote kuonesha miradi aliyofanya Samia.

Ni Baba Levo huyu huyu ambaye alishawahi kusema kuwa yuko tayari "kumzalia" Diamond na ni huyu huyu ambaye anajulikana kwa tabia zake za kucheza kamari.

Kwanini kazi hii asingeifanya Nape au hata Mwana FA?

Hizi ni dalili kuwa hiki chama kinapumulia mashine

View attachment 3234518
Baba Levo huyu huyu ambaye alishawahi kusema kuwa yuko tayari "kumzalia" Diamond 😂😂😂
 
Wakuu,

Zamani CCM ilikuwa Ina think tanks ambao pia walikuwa ni mouthpiece za chama, sijui nini kimetokea mpaka wakachange gear na kuanza kumtumia mtu kama Baba Levo kwenye mambo yao.

Baba Levo kwa sasa anazunguka mikoa yote kuonesha miradi aliyofanya Samia.

Ni Baba Levo huyu huyu ambaye alishawahi kusema kuwa yuko tayari "kumzalia" Diamond na ni huyu huyu ambaye anajulikana kwa tabia zake za kucheza kamari.

Kwanini kazi hii asingeifanya Nape au hata Mwana FA?

Hizi ni dalili kuwa hiki chama kinapumulia mashine

View attachment 3234518
Hakika wasanii wanakula Hela sana za walipakodi kipindi hiki.
 
Mama hana Deni labda kwako amekamilisha Malipo Yote ya kazi ya kukuzungusha TZ nzima ,ila kwa WaTZ ana madeni hadi ana madeni tena.
 
Back
Top Bottom