GE2025 Baba Levo awaapisha watu kwa Mungu kumchagua Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Mgombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (#CCM) Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo awaapisha wananchi wa Kigoma mjini kumchagua Samia mgombea urais kupitia Chama hicho



Your browser is not able to display this video.
 
Mungu anaweza kulibariki jambo la Samia wakati ana roho mbaya kiasi hiki??
 
Hivi ccm inakuwaje inawaweka wajinga kama baba levo eti mgombea?

Ina maana Kigoma nzima haina mtu anayekava hii nafasi ? Uchawi upo !

Sishangai Samia alishindwa kumnadi huyu kenge.... anaona uwezo mdogo ... mwisho wa siku akasema Zitto na Baba levo wote wanangu....mwenye akili timamu atajua kuwa hata mwenyekiti wa chama hamkubali mgombea wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…