BABA LEVO: Diamond kaniibia chorus ya my No.1

BABA LEVO: Diamond kaniibia chorus ya my No.1

Diamond kila wimbo anaiba jamani? Ata kama lisemwalo lipo, hii too much...
heaven on desert siku muombe bro aje akae hapa kama two hours hivi ajibu yy mwenyewe hizi tuuma. Au tuseme he is very busy kid hadi hawez pata that time?
 
Last edited by a moderator:
Hyo mil50 bora angemtafuta Johnkallage wa azaboy au yrene showbizdefine akawapa mil4 wangetoa bonge la kitu hyo 46 angemjengea baba yake servant kota na funcargo mpya sio kama ili iliyojichokea ya gurumo kwa mil22,mil 24 angemjengea tena mama yake na iliyobaki amsomeshe brother wake jimmy jones amlipie ada ya miaka mi3 cbe asome B.A apate hata dip aanze na cer 1y na dip 2yrs.
 
hyo mil50 bora angemtafuta johnkallage wa azaboy au yrene showbizdefine akawapa mil4 wangetoa bonge la kitu hyo 46 angemjengea baba yake servant kota na funcargo mpya sio kama ili iliyojichokea ya gurumo kwa mil22,mil 24 angemjengea tena mama yake na iliyobaki amsomeshe brother wake jimmy jones amlipie ada ya miaka mi3 cbe asome b.a apate hata dip aanze na cer 1y na dip 2yrs.

huwezi pata kitu kikubwa kwa kuwekezza kidogo wewe,bila kutumia hiyo gharama yote ingepetikana video kari kama hiyo?na aliekuambia hiyo million 50 yote kalipwa mtengeneza video ni nani?iko hivi...kakodi jeti,boat,hotel,mini helcopter kwa ajili ya kushoot scene za juu,kalipa watu maarum wa makups,kalipa wale mamodo,kakodi fellari,kalipa kampuni mbili zilizoshilikian akatika kushoot,moja ogopa na nyingine ya huko south,kawanunulia mavazi wale mamodo pamoja na yeye n.k afu mnaosema hii video mbaya mko wachache kweli 3/100..watanzania cjui mkoje..watu wakijaribu kuthubutu ili wapie hatua wafike levo za kimataifa mnaanza kuponda
 
Viskuumize kichwa bibie wanatafuta namna ya kurudi kwenye gem tu na kuongelewa..jiulize ni utunz upi wa bba levo na uimbaj wake ule mpka diamond amuibie..kweli??

Na nyinyi badilisheni hiyo strategy yenu ya promo,tunajua mnasuka wenyewe hii mipango na mnawalipa kutengeneza skendo lkn hamna mpya kila nyimbo mbinu hiyo hiyo tu alafu ni ya kizamani kwa wafuatiliaji wa music
 
Hyo mil50 bora angemtafuta Johnkallage wa azaboy au yrene showbizdefine akawapa mil4 wangetoa bonge la kitu hyo 46 angemjengea baba yake servant kota na funcargo mpya sio kama ili iliyojichokea ya gurumo kwa mil22,mil 24 angemjengea tena mama yake na iliyobaki amsomeshe brother wake jimmy jones amlipie ada ya miaka mi3 cbe asome B.A apate hata dip aanze na cer 1y na dip 2yrs.

Huyo Romeo jones atakuja kukujibu yupo humu ndo kazi yake kuingia humu na kuleta blah blah za ndomo
 
Hyo mil50 bora angemtafuta Johnkallage wa azaboy au yrene showbizdefine akawapa mil4 wangetoa bonge la kitu hyo 46 angemjengea baba yake servant kota na funcargo mpya sio kama ili iliyojichokea ya gurumo kwa mil22,mil 24 angemjengea tena mama yake na iliyobaki amsomeshe brother wake jimmy jones amlipie ada ya miaka mi3 cbe asome B.A apate hata dip aanze na cer 1y na dip 2yrs.

Leo ndio nimeuelewa upeo wako bob(ref hapo kwenye mstari)....mie namshauri Diamond na msanii yoyote wa kibongo waendelee kufanya video za kiwango kikali ata zaidi ya Number 1 ili muutoe muziki hapa ulipo muupeleke mbali,msisubilie awa wabongo mpaka waamke nyie simamieni kwenye vision ya kuuvusha huu mziki ata kama waswahili wanawakatisha tamaa Psquare na kina DBanj waliwekeza sana kwenye video ndio maana ata dunia ikawajua..AY wakati anaanza kwenda Uganda na Kenya watu walimuona kama anapoteza pesa na muda mnaona alipo sasa na alioanza nao wako wapi...yani mtu mwenye uelewa awezi kushauri msanii level za Diamond akatoe video ya harusi kwa kalaghe.
 
heeeeeeeee.... nitatoka vipi jamaniii???
Namimi kaniibia style ya kucheza, kaitumia kwenye video yake mpyaaa..
LOL hahahaaaa Bongo bwana.
 
Sasa baba Levo,mwanae anaitwa Levo? Au ni level,hapa wamekosea kuandika tu? Na yeye,anajishughulisha wapi? Au humo humo kwenye Bongo fleva? Nazidi kupata ugumu wa kuelewa, embu nilale mie.
 
hivi baba levo kweli hajielewi.
hivi ana hati miliki ya hayo maneno?

hizi allegations zake ziko weak sana bora hata dyna.

Ni wakati sasa heaven on desert ukamshauri boss wako diamond ajiunge humu ili awe anajibu maswali mengine mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Huyu diamond kazid bwana,kwanza alianza H-baba nikazani anamuone akaja dyna na sasa baba levo kwa mtu ka diamond hii inajenga picha mbaya aisee
 
hivi baba levo kweli hajielewi.
hivi ana hati miliki ya hayo maneno?

hizi allegations zake ziko weak sana bora hata dyna.

Ni wakati sasa heaven on desert ukamshauri boss wako diamond ajiunge humu ili awe anajibu maswali mengine mwenyewe.

hana kaz chache kias cha kupata mda wa kujibu vitu visivyo na kichwa wala miguu..diamond hajawai kuiba idea,wimbo wala beat OVER
 
Last edited by a moderator:
hana kaz chache kias cha kupata mda wa kujibu vitu visivyo na kichwa wala miguu..diamond hajawai kuiba idea,wimbo wala beat OVER

kwa hiyo unataka kuniambia yeye hapati muda wa kuandika hata kwenye mitandao ya kijamii?

Na kumbuka hata kwenye tuhuma za yule mganga alijibu na hata tuhuma za wimbo wa nataka kulewa alijibu tuhuma na hizo zina utofauti gani na hizi?

Kama ndivyo hivi unamjibia diamond maswali basi kuna tatizo kabisa.

Diamond anatakiwa kujibu hizi tuhuma hasa ya dyna na angekuwa msanii wa kwanza kuja mwenyewe kama utaweza kumshauri maana si kila kitu wewe unaweza kukijibu.

heaven on desert mshauri boss wako awe member hapa asiogope.
 
I sayd diamond ana kaz nying mno saiv tu yupo kenya kwa deal la coca hawez kukaa anajibu tuhuma za kipuuz ka hizi za dayna.beat n mari ya producer na awali alipewa daa daynna aitumie akakataa kuwa n mbaya akapewa diamond tena dayn aliulizwa akasema hakun tatizo.so u thik diamond anao mda wa kujibu huu ujinga
 
Last edited by a moderator:
n tuhuma ambazo hazna maana ndo mana huon akitamka chochote hata kwenye social netwek zake
 
I sayd diamond ana kaz nying mno saiv tu yupo kenya kwa deal la coca hawez kukaa anajibu tuhuma za kipuuz ka hizi za dayna.beat n mari ya producer na awali alipewa daa daynna aitumie akakataa kuwa n mbaya akapewa diamond tena dayn aliulizwa akasema hakun tatizo.so u thik diamond anao mda wa kujibu huu ujinga

Unajaribu kusema dyna kachanganyikiwa?

kwa hiyo unasema hawezi kuwa member humu sababu ana kazi nyingi? kipindi anajibu tuhuma za waganga na hile ya pasha hakuwa na kazi?

hivi diamond ana kosa muda wa kuongea na kujibu maswali ya fans wake? ni kweli yuko busy kiasi hiki unacho sema.

NAANZA KUPATA MASHAKA NA WEWE.
 
endelea kuwa na mashaka na mm hakuna kitakachopungua
 
Back
Top Bottom