Yuko sahihi akuanzae mmalize,ila sema hawa wote kuanzia harmonize na kundi la vanny ni washenzi.Baba Levo act like your age
well said,MadamBaba Levo act like your age
kosa la Baba levo ni kushupalia upuuzi, jamaa sasa ni mtu mzima na alikuwa na jina lake hapa nchini hakutakiwa kuongelea mambo kama hayo ya ma video ya utupuYuko sahihi akuanzae mmalize,ila sema hawa wote kuanzia harmonize na kundi la vanny ni washenzi.
Ni kubwa kubwa jinga. Anaudhi.Baba Levo act like your age
haha hapo kuhusu Rayvan utamuudhi dogo Inno hadi atajuta kuanzisha hii mada.Daaah hii ndo bongo bhana.
baba levo leo kawa balozi wakati vanny hajawai hata kupewa ubalozi wa pipi.
Usishangae ukakuta ni mkataba wa huyo chawa wa millioni moja au mbili..Daaah hii ndo bongo bhana.
baba levo leo kawa balozi wakati vanny hajawai hata kupewa ubalozi wa pipi.
Hilo jina lilimpa nini kipindi hicho? Uoni now anakula madeal tu.kosa la Baba levo ni kushupalia upuuzi, jamaa sasa ni mtu mzima na alikuwa na jina lake hapa nchini hakutakiwa kuongelea mambo kama hayo ya ma video ya utupu
mkuu, jamaa alikuwa Diwani, na ana fao la udiwaniHilo jina lilimpa nini kipindi hicho? Uoni now anakula madeal tu.
Diwani mshahara 350000 na posho za kindezi kabisa. Sasa uoni now anashine kuliko kipind hicho labda Kama wewe unambishia muhusika maana nimewahi kumsikia mwenye akitamka maeneno hayo, kuwa sasa ana maisha mazuri zaidi ukilinganisha na kipind hicho.mkuu, jamaa alikuwa Diwani, na ana fao la udiwani
Mkuu,haya kwakuwa mwenyewe amesema hivo ngoja nikubaliDiwani mshahara 350000 na posho za kindezi kabisa. Sasa uoni now anashine kuliko kipind hicho labda Kama wewe unambishia muhusika maana nimewahi kumsikia mwenye akitamka maeneno hayo, kuwa sasa ana maisha mazuri zaidi ukilinganisha na kipind hicho.