Baba Levo kudai fidia kuhusu kesi yake aliyoshitakiwa na Harmonize

Baba Levo kudai fidia kuhusu kesi yake aliyoshitakiwa na Harmonize

Msanii Baba levo anefunguka Leo akiwa kwenye press conference yakutangazwa kuwa balozi mpya wa Soka bet amesema baada ya kushinda hii kesi aliyoshitakiwa na harmonize atamfungulia mashitaka harmonize ya kuchafua brand yake.Akafunguka zaidi kuwa harmonize amekurupuka kumshitaki bila kutumia akili pamoja na mwanasheria wake mimi nitamuonesha hasara ya kukurupuka ni nini nataka hii kitu kiende mahakamani na sitaki tumalize kiundugu huwezi kunishitaki nimevujisha video zako za utupu ikiwa me Sina ukaribu na wewe ninashangaa sijui hiyo video unaipataje sijui atadhibitashe mahakamani.
Pumbav hilo baba levo lenyewe si ndio limeimba hamo mavi
 
Iko hivo ndugu, hela hizi we acha tu huu uchizi anaofanya sidhani Kama anapenda. Ni harakati za kuhakikisha familia inapata mahitaji ya msingi na kuishi sehemu ya ndoto zetu.
Ni kweli, ubalozi wa brands sio jambo dogo, nimewahi kuona pia anasema mwanaye analipiwa ada na Diamond
 
WAHA wana akili zao ni za kishamba. Kelele nyingi kama Zitto Kabwe.
 
Back
Top Bottom