Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Ila Babalevo leo kaamua kunyesha upande wake wa pili. Ila bunge la sasa linamambo ya hovyo mengi sanaa
=================
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus Chipando (Baba Levo) ameibua mjadala na taharuki baada ya kudai kuwa kuna baadhi ya wanawake wanaotumika kuwarekodi viongozi wakiwa katika mazingira ya faragha ndani ya nyumba za kulala wageni (lodge).
Amesema vitendo hivyo vinaweza kuwa hatari na kukiuka maadili pamoja na faragha za watu, huku akisisitiza kuwa jamii inapaswa kuchukua tahadhari dhidi ya tabia kama hizo zinazoweza kusababisha migogoro na usumbufu mkubwa kwa wahusika.