Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Baba Levo anaiota Times Square huku!
Mtangazaji wa Wasafi Media, Baba Levo, ametoa maoni yake kuhusu majengo ya eneo maarufu la Kariakoo jijini Dar es Salaam, akisema kuwa hayafai kuwepo katikati ya jiji.
"Majengo ya Kariakoo, asilimia kubwa, kama kweli tunataka haki, eneo hilo linatakiwa libakie peupe (white).
Kwanza yako mjini, pili mfumo wa ujenzi wake hauvutii kuwa sehemu ya katikati ya jiji." Akifananisha na mpango wa Marekani kuwa na Times Square ambapo ni kivutio cha watu wengi duniani.