Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Alafu Kuna maghorofa ya ufundi polisi.Majengo ya Dar es salaam asilimia kubwa yanahitaji kupigwa rangi.
Unaweza kwenda hata ushuani ukakuta jengo jeupe lakini lina kama ukurutu mweusi.
Kama hili ni suala la hali ya hewa inabidi kufikiria suluhisho la rangi itakayohimiki hali ya hewa ya Dar bila kuharibika hivyo.
Nyumba za Msajili wa Majumba/ NHC za Upanga zimekubuhu kwa hili.
Kwenye harufu, wanaoishi pale wanapata kitu kinaitwa "nose blindness".Alafu Kuna maghorofa ya ufundi polisi.
Yalivyo na rangi chafu plus ile harufu ya chemba ambayo haiishagi ile mitaa!! Unabaki kuijiuliza "Mimi ni mpita njia tu hapa,vipi wanaoishi hii mitaa Kila siku hizi nyumba zilivyo chafu na zinavyonuka kama mizoga wanaishije?"
Dar ni mji mchafu sana.
anajua uchungu wa kujenga hata gorofa moja tu, anaweza kustep into the shoes ya wamiliki wa magorofa ya kariakoo aone uchungu wake? kwanini anafanya swipping generalization kwamba magorofa yote hayafai? kwa matajiri wa kariakoo najua watamdharau tu kwa sababu aliyeongea watasema hana hela kwanza. na hazijui hela wala uchungu wa hela.Wakuu
Baba Levo anaiota Times Square huku!
Mtangazaji wa Wasafi Media, Baba Levo, ametoa maoni yake kuhusu majengo ya eneo maarufu la Kariakoo jijini Dar es Salaam, akisema kuwa hayafai kuwepo katikati ya jiji.
"Majengo ya Kariakoo, asilimia kubwa, kama kweli tunataka haki, eneo hilo linatakiwa libakie peupe (white). Kwanza yako mjini, pili mfumo wa ujenzi wake hauvutii kuwa sehemu ya katikati ya jiji." Akifananisha na mpango wa Marekani kuwa na Times Square ambapo ni kivutio cha watu wengi duniani.
View attachment 3157142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaongea ukweli mchungu
Unavyo shuka jangwani pale ghorofa unaziona kama uchafu
Ila ndio matajiri wetu walipo jikuna wakaishia tutafanyaje sasa