GE2025 Baba Levo: Mnaohoji mtoto wa Rais ana gari zuri, mnataka atembelee Bajaji?

GE2025 Baba Levo: Mnaohoji mtoto wa Rais ana gari zuri, mnataka atembelee Bajaji?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa watu wenye akili za namna hii ndio mnatuambia tukatiki?....
Very stupid indeed!...
Endelee na malofa wenu..
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Kumjadili Baba Levo ni kupoteza muda tu, CCM wenyewe hawaelewi kwanini candidate wao ni yeye
 
Uzuri wake anajikubali yeye ni Chawa, kwa hiyo hauwezi hata kumzodoa.....
 
Kuja JF kwa VPN na kukutana na uzi za ki maku ka hizi ni userngr
 
Hivi kama taifa tumefikaje huku ???Ujue tumeacha nchi iwe na wapuuuzi sasa na wanachukua uoongozi ..dah...
 
Back
Top Bottom