DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Kwahiyo Said Nkumba na Baba Levo who is best ?Said Nkuba alipokosa ubunge Sikonge bado kidogo aende Chadema,alibembelezwa sana na by then baba yake marehemu mzee Nkuba ndo alikuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora.
Ushawishi wa ile familia na Said him self ndo ulifanya Said arudishwe kwenye reli kupitia ukuu wa Wilaya Ushirombo.
All in all sio kila aliye kosa kosa kushinda ubunge CCM ana sifa ya kuwa mkuu wa Wilaya. MAONI YANGU BINAFSI
Vyeo Kama UDC n.k ni vyeo vya kisiasa zaidi haviitaji degree n.k