GE2025 Baba Levo na kura 88 za maoni CCM jimbo la Kigoma Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwahiyo Said Nkumba na Baba Levo who is best ?


Vyeo Kama UDC n.k ni vyeo vya kisiasa zaidi haviitaji degree n.k
 
imagine ametoka chama cha upinzani ameingia chama chengine na amevuna kura kiasi hicho za wajumbe huku na bado kura akiwa amibiwa. Jamaa ni fighter na anakubalika na jamii. Wanaomponda ni chuki binafsi tu.
 
Kwahiyo Said Nkumba na Baba Levo who is best ?


Vyeo Kama UDC n.k ni vyeo vya kisiasa zaidi haviitaji degree n.k
Siongelei degree mkuu! Wew ukiwa ndo Rais wa nchi una watu wawili mbele yako kati ya baba Levo na Said Nkuba ungependelea nani umteuwe awe mwakilishi wako kama mkuu wa Wilaya ya Igunga na kwa nn?
Naelewa fika kazi za mkuu wa Wilaya,katibu tawala wa wilaya na afisa tarafa. Na upandewa halmashauri nayajua majukumu ya Mkurugenzi pamoja na wakuu wake wa idara.
Hiki cheyo cha mkuu wa Wilaya kimeonekana hakina maana kuanzia kwenye utawala wa Magufuli (R.I.P) sababu wote tunazijua
 
Kwa sasa una maoni gani kuhusu Msambatavangu, amekuwa wa nne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…