Lazima wapigweKuhusu kipigo au?
Unawapaisha tu watu wasiostahili. Yaani Baba Levo ndio wa kufanyia reference humu? Kwanza ameshazoea kuliwa hela kwenye casino, na hii pia ataliwaMtangazaji maarufu pale mjini usafini .....haya ni maoni yake
"Sitaki kuwa Mnafiki Siioni Simba ikishinda Mchezo wake Dhidi ya Al Ahly Tayari Nimebeti Al Ahly wanashinda Dhidi ya Simba SC, na Kesho nitakuwepo Uwanja wa Mkapa Nina Ticket yangu ya VIP" Babalevo Mtangazaji wa Wasafifm [emoji3578].
NB: inawezekana kipigo heavyweight kweli kinakuja [emoji32]
Hatuwezi ignore mawazo yake ....coz ni mtangazaji mahiri wa michezo pale mjini usafini fmUnawapaisha tu watu wasiostahili. Yaani Baba Levo ndio wa kufanyia reference humu? Kwanza ameshazoea kuliwa hela kwenye casino, na hii pia ataliwa
Akafanye kwanza upasuaji wa pua maana dah...Mtangazaji maarufu pale mjini usafini .....haya ni maoni yake
"Sitaki kuwa Mnafiki Siioni Simba ikishinda Mchezo wake Dhidi ya Al Ahly Tayari Nimebeti Al Ahly wanashinda Dhidi ya Simba SC, na Kesho nitakuwepo Uwanja wa Mkapa Nina Ticket yangu ya VIP" Babalevo Mtangazaji wa Wasafifm [emoji3578].
NB: inawezekana kipigo heavyweight kweli kinakuja [emoji32]View attachment 2787297
Mimi nikajua ni kocha mahiri ama mchezaji mahiri kumbe mtangazaji tu?Hatuwezi ignore mawazo yake ....coz ni mtangazaji mahiri wa michezo pale mjini usafini fm
Mtu yeyote anayejua kusoma anaweza kuwa mtangazajiHatuwezi ignore mawazo yake ....coz ni mtangazaji mahiri wa michezo pale mjini usafini fm
Una mpango gani na huyo mke wa watu?Mtangazaji maarufu pale mjini usafini .....haya ni maoni yake
"Sitaki kuwa Mnafiki Siioni Simba ikishinda Mchezo wake Dhidi ya Al Ahly Tayari Nimebeti Al Ahly wanashinda Dhidi ya Simba SC, na Kesho nitakuwepo Uwanja wa Mkapa Nina Ticket yangu ya VIP" Babalevo Mtangazaji wa Wasafifm [emoji3578].
NB: inawezekana kipigo heavyweight kweli kinakuja [emoji32]View attachment 2787297
Tena mwehu kabisa.Ni mjinga tu ataamini kuwa makolo wanashinda