Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Mtangazaji maarufu pale mjini usafini .....haya ni maoni yake
"Sitaki kuwa Mnafiki Siioni Simba ikishinda Mchezo wake Dhidi ya Al Ahly Tayari Nimebeti Al Ahly wanashinda Dhidi ya Simba SC, na Kesho nitakuwepo Uwanja wa Mkapa Nina Ticket yangu ya VIP" Babalevo Mtangazaji wa Wasafifm [emoji3578].
NB: inawezekana kipigo heavyweight kweli kinakuja [emoji32]