Baba Levo: Nimeibetia Al Ahly itashinda 7 - 0 Simba

H
Mbona umejificha uvunguni sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ukimtafuta kwa tochi hapa huwezi kumwona!! Kajifungia pahala na mwenziwe Nalia Ngwena wakilia kilio cha kichawi ngwena!,ngwena!, ngwena! Khiki huwa ni kilio cha kichawi baada ya uchawi kugonga mwamba!!

Kinachowauma zaidi ni takwimu za mchezo!! Simba kamiliki zaidi mpira vipindi vyote viwili!!
 
Tabu moderators wamekubali JF iwe kijiwe cha ovyo kwa kuruhusu wajinga kuanzisha threads za kijinga. Tafakari mtu eti reference yake ni Baba Levo eti mtangazaji mahiri.Mtu aliyewahi kusema atamzalia Diamond watoto watatu!
JF imegeuka ulingo wa wajinga kuleta ujinga wao bila kizuizi.
Mwanzoni JF kulikuwa na malumbano ya hoja za msingi sasa imekuwa kijiwe cha wajinga wengi kuharibu hadhi hiyo.
 
Hivi huyu [emoji304] ameshatimiza ile ahadi yake ya kumzalia Diamond watoto mapacha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…