Baba Levo: Nimeibetia Al Ahly itashinda 7 - 0 Simba

Baba Levo: Nimeibetia Al Ahly itashinda 7 - 0 Simba

Goooooooooooooooooooooooooooooooooollll
Goooooooooooooooooooooooooooooooooollll
Goooooooooooooooooooooooooooooooooollll
Goooooooooooooooooooooooooooooooooollll
Goooooooooooooooooooooooooooooooooollll
Goooooooooooooooooooooooooooooooooollll
FB_IMG_1697710177255.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
H
Mbona umejificha uvunguni sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ukimtafuta kwa tochi hapa huwezi kumwona!! Kajifungia pahala na mwenziwe Nalia Ngwena wakilia kilio cha kichawi ngwena!,ngwena!, ngwena! Khiki huwa ni kilio cha kichawi baada ya uchawi kugonga mwamba!!

Kinachowauma zaidi ni takwimu za mchezo!! Simba kamiliki zaidi mpira vipindi vyote viwili!!
 
Tabu moderators wamekubali JF iwe kijiwe cha ovyo kwa kuruhusu wajinga kuanzisha threads za kijinga. Tafakari mtu eti reference yake ni Baba Levo eti mtangazaji mahiri.Mtu aliyewahi kusema atamzalia Diamond watoto watatu!
JF imegeuka ulingo wa wajinga kuleta ujinga wao bila kizuizi.
Mwanzoni JF kulikuwa na malumbano ya hoja za msingi sasa imekuwa kijiwe cha wajinga wengi kuharibu hadhi hiyo.
 
Mtangazaji maarufu pale mjini usafini .....haya ni maoni yake

"Sitaki kuwa Mnafiki Siioni Simba ikishinda Mchezo wake Dhidi ya Al Ahly Tayari Nimebeti Al Ahly wanashinda Dhidi ya Simba SC, na Kesho nitakuwepo Uwanja wa Mkapa Nina Ticket yangu ya VIP" Babalevo Mtangazaji wa Wasafifm [emoji3578].

NB: inawezekana kipigo heavyweight kweli kinakuja [emoji32]View attachment 2787297
Hivi huyu [emoji304] ameshatimiza ile ahadi yake ya kumzalia Diamond watoto mapacha?
 
Back
Top Bottom