Baba Levo: Ningekuwa Mwanamke ningemzalia Diamond watoto watatu

chongoe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Posts
1,183
Reaction score
2,871
Dah...

Kupitia mtandao wa Instagram, Baba Levo ameandika:

"KWA WEMA ALIONITENDEA DIAMOND PLATNUMZ KAMA ningekuwa Demu ningemzalia Watoto WATATU. NAMSHANGAA SANA ZUCHU...!Ndio maana NIMEKASHUSHA NA SUKARI ZAKE Youtube. Kwakweli #SHUSHA IMENIPA HESHIMA KILA KONA YA MTAA... THANKS BIG"

Ooohooo Njaa ndio ishaponza Matako ya Baba levo. Kifuatacho ni ....
 
Maisha yanaenda kasi sana yani kutoka udiwani hadi kuwa Sh***. Chawa kunguni pro max kasema angelikuwa demu angemzalia domo watoto wa 3 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha niendeley tu Na kazi zangu za kuuza mifuko sokoni
 
Nilisikiliza walevi wawili wakibishana, mmoja akasema akasema "huku ni kujipendekeza kuliko pitiliza "
Mwingine akauliza swali "wewe unafikiri kusafiria nyota ya mwenzako ni mchezo mchezo eti ehhhhe pumb... V zako"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…