GE2025 Baba Levo: Nitatumia milioni 80, kushinda ubunge jimbo la Kigoma mjini

GE2025 Baba Levo: Nitatumia milioni 80, kushinda ubunge jimbo la Kigoma mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Ukomo wa matumizi ya fedha kwenye kampeni za ubunge kwa jimbo la Kigoma Mjini ni shilingi milioni 82, lakini mimi nitatumia milioni 80

 
Ukweli ambao ni mchungu, Babalevo hachukui jimbo la Kigoma tupo hapa
 
Kaanza uzwazwa wake,
Huyu akili zote ziko kwenye huo Mtumbo wake.
 
Kwani anashindana na nani? Na nani kamuuliza kuhusu pesa?

Hatupigi kura au huko Kigoma hawajapata ujumbe?
 
Anachukua mchana kweupeeee!!
Nitarudi kwenye hii comment yako,mark my words..Hii move nashangaa kwanini wajuzi wa siasa wanaojua za ndani hawaizungumzii kule jukwaa la siasa
 
Nitarudi kwenye hii comment yako,mark my words..Hii move nashangaa kwanini wajuzi wa siasa wanaojua za ndani hawaizungumzii kule jukwaa la siasa
Ukiangalia kwa umakini unaweza kusema ataporwa ushindi na kupewa Zitto ila jamaa hatakubali kirahisi kama kweli atashinda
 
Back
Top Bottom