Kupitia ukurusa wake wa Mtandao wa Instagram Mgombea nafasi ya Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kigoma Mjini, Clayton Chipando Maarufu Baba Levo ameelezea sakata lililotokea la mama kudai kuibiwa simu baada ya kutembelewa na wanachama wa ACT-Wazalendo kuomba kura nyumba kwa nyumba
"Ndugu Zangu Wa KIGOMA Tuwe Makini Kwenye Kipindi Hichi Cha Uchaguzi
Usimruhusu Mtu Usiyemjua Kuingia Ndani Kwako Kuomba KURA Anaweza Kuwa Anakuja Kuchunguza Namna Ya Kukuibia" ameandika Baba levo kuoitia ukurasa wake Mtandao wa Instagram