GE2025 Baba Levo: Tuwe Makini na watu wanaokuja kuomba kura Nyumba kwa nyumba, wanaweza kuwa wezi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Kupitia ukurusa wake wa Mtandao wa Instagram Mgombea nafasi ya Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kigoma Mjini, Clayton Chipando Maarufu Baba Levo ameelezea sakata lililotokea la mama kudai kuibiwa simu baada ya kutembelewa na wanachama wa ACT-Wazalendo kuomba kura nyumba kwa nyumba

"Ndugu Zangu Wa KIGOMA Tuwe Makini Kwenye Kipindi Hichi Cha Uchaguzi
Usimruhusu Mtu Usiyemjua Kuingia Ndani Kwako Kuomba KURA Anaweza Kuwa Anakuja Kuchunguza Namna Ya Kukuibia"
ameandika Baba levo kuoitia ukurasa wake Mtandao wa Instagram
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…