Baba Levo una 'bullying' za waziwazi, TCRA wanakuangalia tu pamoja na uongozi wako

Baba Levo una 'bullying' za waziwazi, TCRA wanakuangalia tu pamoja na uongozi wako

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
kiukweli huyu jamaa Baba Levo hapa tu kupewa rungu Wasafi na Media kapitiliza kwenye kuongea.

wanakipindi chao cha kutafuta vipaji, una katabia cha ajabu kukosoa wanadamu na kuwakejeli. Hata kama unatafuta sifa kufika kama Salama Jabir ila huwezi. Salama ana hayo mambo na uwezi kuona ujinga kama wako.

Hiki kipindi ni kufungiwa na anayewaponza ni Baba Levo. Ingekuwa Ulaya kishapigwa 'ban' siku nyingi.

Unavofanya 'bullying' usizani huku mtaani wanakuchekea, utaungana na hao
 
Back
Top Bottom