Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Zitto alikuwa anajielewa sio sasaMimi nimwambie tu baba levo kwamba kwangu mimi amekwishapoteza sifs ya kupewa ubunge kwa sababu ya uchawa wake, maana yake ni kwamba hawezi tena kuisimamia au kuikosoa serikali hana ujasiri huo kwa sababu tunamjua ni mtu wa mapambio, amuache zitto ambae anajielewa. Na wasanii wengine msiingizwe kwenye mkenge na baba levo, huyo ni mchumia tumbo
UBUNGE JAMANI SIO LELEMAMA
Pamoja na hayo bado hakuna uwiano wa aina yoyote kati ya Babalevo na zitoo yaaani hapo ni mbingu na ardhiZitto alikuwa anajielewa sio sasa
Hawa wote ni "wataalam" Acha walogane, unaambiwa hapo Buzeba zeba bei ya radi imeshuka hadi buku jero ili kuua mtu mmojaMsanii wa Bongo Fleva ambaye pia ni Mtangazaji wa Wasafi FM, Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, na mtia nia Ubunge Jimbo la Kigoma mjini Kupitia CCM, amekea vikali kauli za Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe aliyoitoa kuwa Wasanii, Wachekeshaji na Watangazaji sio watu sahihi wa Kugombea Ubunge.
Baba Levo amesema kauli za Kiongozi huyo ni za Kibaguzi kwa Wana tasnia hizo, kwani zimezalisha ajira nyingi mno ambazo yeye akiwa Kiongozi kwa zaidi ya Miaka 15 ameshindwa kuzitengeneza.
Hili Jimbo lipo kimkakati kwa CCM kuachi upinzani ili kubalansisha Ubunge kuonekana uchaguzi huruBaba levo abaki na kazi yake ya uchawa siasa awaachie wengine
Jimbo la Kigoma mjini ni jimbo la upinzani kama ilivyo Arusha mjini, Moshi, Mbeya mjini, hutokea wakati mwingine majimbo haya yakaangukia chama tawala, lakini ukweli huo uko wazi tangu tumeanza uchaguzi wa kwanza mwaka 1995.Hili Jimbo lipo kimkakati kwa CCM kuachi upinzani ili kubalansisha Ubunge kuonekana uchaguzi huru
Hii ni kuokoa Ile ya COVID-19