evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,989
- 9,948
Bana level ajikite kwenye zoezi lake la kumzalia mtoto domo kaya
hahahahahaHawa wote ni "wataalam" Acha walogane, unaambiwa hapo Buzeba zeba bei ya radi imeshuka hadi buku jero ili kuua mtu mmoja
Haa Haa Hata Kule Nyamnyusi Kasulu Tshs 500/=Hawa wote ni "wataalam" Acha walogane, unaambiwa hapo Buzeba zeba bei ya radi imeshuka hadi buku jero ili kuua mtu mmoja
Siasa imevamiwa
Basi msukuma darasa la saba asingeenda bungeniMimi nimwambie tu baba levo kwamba kwangu mimi amekwishapoteza sifs ya kupewa ubunge kwa sababu ya uchawa wake, maana yake ni kwamba hawezi tena kuisimamia au kuikosoa serikali hana ujasiri huo kwa sababu tunamjua ni mtu wa mapambio, amuache zitto ambae anajielewa. Na wasanii wengine msiingizwe kwenye mkenge na baba levo, huyo ni mchumia tumbo
UBUNGE JAMANI SIO LELEMAMA
Umeona vipeperushi zzt anampigia maza campaign?Kwa kauli hiyo ya Baba Levo kuwa Zitto sio mpinzani, ni kwamba umetoa siri ya kambi na hivyo hata wewe chama kitaondoka na jina lako juu kwa juu, linakatwa mapema mkajuane huko kwenu wenyewe