Baba Lishe avunja dhana potofu za jinsia katika Tamasha la Chakula

Baba Lishe avunja dhana potofu za jinsia katika Tamasha la Chakula

Nikikumbuka mi nilianza kupika nikiwa darasa la pili, ila maisha!!!
Nashukuru lakini kwa sasa hamna chakula nisicho jua kupika.
 
Hua migahawa wapishi wakiwa wanaume wenzangu nakula nikiwa na amani sana, wanawake kwenye upishi wanasifiwa bure tu hawa watu wachafu mno, ndio maana machef mahiri na maarufu duniani ni wanaume,

Yah kwenye usafi mwanamke akipika hotelini jitahidi usione anapopikia
Nilikua najaza ream paper kutoa maelezo ya Uchungu, ila nimesoma tena ndo nikaona Hilo neno la mgahawa/hotelini ndiyo limekua remarkable😂😂 ndo mashetani yakatulia. So ni kwa wa mahotelini tu.
 
Hua migahawa wapishi wakiwa wanaume wenzangu nakula nikiwa na amani sana, wanawake kwenye upishi wanasifiwa bure tu hawa watu wachafu mno, ndio maana machef mahiri na maarufu duniani ni wanaume,
Wanaume ndiyo machef wanajuwa sana

Ova
 
Jf bwana ngoja nihesabu comments za members wa kiume watakaojisifia kujua kupika.

Anyways hata mimi napika chakula kizuri mno.
 
Back
Top Bottom