Vizuri tuPerhaps, Na chapati unapika?
Yah kwenye usafi mwanamke akipika hotelini jitahidi usione anapopikiaHua migahawa wapishi wakiwa wanaume wenzangu nakula nikiwa na amani sana, wanawake kwenye upishi wanasifiwa bure tu hawa watu wachafu mno, ndio maana machef mahiri na maarufu duniani ni wanaume,
Hii kamba aisee!habari ya kupika nilishawahi kuunguza yai la kuchemsha
Hua migahawa wapishi wakiwa wanaume wenzangu nakula nikiwa na amani sana, wanawake kwenye upishi wanasifiwa bure tu hawa watu wachafu mno, ndio maana machef mahiri na maarufu duniani ni wanaume,
Nilikua najaza ream paper kutoa maelezo ya Uchungu, ila nimesoma tena ndo nikaona Hilo neno la mgahawa/hotelini ndiyo limekua remarkableππ ndo mashetani yakatulia. So ni kwa wa mahotelini tu.Yah kwenye usafi mwanamke akipika hotelini jitahidi usione anapopikia
ππIpo sababu yangu nayokuona nayo, why unaona wakati wa kuoa bado.πππVizuri tu
Sa chapati si ndio rahisi kabisa mkuu
Good, nimeipenda hiii comment,Safi kijanaFor taste
Mi sio kataa ndoa wakati ukifika naoaπ
Bado kidogoππIpo sababu yangu nayokuona nayo, why unaona wakati wa kuoa bado.πππ
Wanaume ndiyo machef wanajuwa sanaHua migahawa wapishi wakiwa wanaume wenzangu nakula nikiwa na amani sana, wanawake kwenye upishi wanasifiwa bure tu hawa watu wachafu mno, ndio maana machef mahiri na maarufu duniani ni wanaume,