Baba mchungaji is coming hooome!!!

Baba mchungaji is coming hooome!!!

Karibu sana Rev.
Naamini utakuwa na mengi ya kutujuza
 
Mama Mchungaji usisahau kumkumbusha Mchungaji atupe ushuhuda wa huko gerezani, ni aliwahubiria wenzie huko au alikaa kimya.
 
Huyu bro bana, anywayz.?',..? Lizzy darling, umpikie supu ya mkia wa kitu cha moto huyu reverend.

Bigi unamuonea wivu mpaka shem wangu???Embu tulia kidogo bwana...makongoro tayari yanachemka...ndizi ndo namenya...pilipili nimeagiza yani we acha tu leo hakuna kulala!!1hahahah
 
Mama Mchungaji usisahau kumkumbusha Mchungaji atupe ushuhuda wa huko gerezani, ni aliwahubiria wenzie huko au alikaa kimya.
Hiyo muhimu mpendwa....ili tujue yaliyojiri!!!
 
Lizzy na Rev.watakueleza si umesema utakuwepo kwenye sherehe ya kumkaribisha ?

Nitakuwa mlinzi asiyeonekana! Hivi wewe unajua Torres na David Louis wamejiunga na timu ya mchungaji ? Chelsea
 
Back
Top Bottom