Baba mchungaji is coming hooome!!!

Kweli eeeh! unaonaje tukitoroka leo ?

Uporoto ushindwe, tumekuona kwenye maono unataka kuharibu nyumba ya Mchungaji, Kamati ya maombi tunapeleka taarifa kwa Mchungaji. Subiri mwenyekiti Wiselady anakuja sasa hivi.
 
Ahhh sorry I cnt....Siunamuona WWZ hapo....yani nikikata kona ninae...nikifunga breki huyo!!!
Ngoja nisogee kitandani leo nitalala vizuri sana,so the problem is Mlinzi Wozoza but Lizzy is ok with the idea! yeees! bye CM bye Rev.
 
:twitch:Uporotooo please usiniweke matatizoni!!!!!:sick:
 
Uporoto ushindwe, tumekuona kwenye maono unataka kuharibu nyumba ya Mchungaji, Kamati ya maombi tunapeleka taarifa kwa Mchungaji. Subiri mwenyekiti Wiselady anakuja sasa hivi.

LD nadhani mchungaji atakua anakuandalia kacheo flani hivi ndani ya kanisa!!!!Sasa hivi yani.......:clap2:
 
Ahhh sorry I cnt....Siunamuona WWZ hapo....yani nikikata kona ninae...nikifunga breki huyo!!!

Mama Mchungaji Lizzy dhambi inakuotea mlangoni yakupasa uishinde!!

Angalia usiharibu sherehe, sisi tupo hapa ukumbini. Huyo uporoto huyo???
 
LD nadhani mchungaji atakua anakuandalia kacheo flani hivi ndani ya kanisa!!!!Sasa hivi yani.......:clap2:

Mmmm Mama Mchungaji mwambie asinipe cheo nitakuwa mwombaji wa kujitegemea tu!!
 
LD na Wozoza tuna utani na Lizzy na Rev. akirudi atathibitisha,samahani kama nimewakwaza,usiku mwema.
 
Uporoto isijekuwa changa la macho tunakuangalia mpaka mwisho.
 
Hamnaga kazi za kufanyana na vitu vya kuandika??
 
Welcome back
welcome back
We eeeeeeelcome baaaaaack

Right here is where we need u

Hahahahahahahah lol
 
Mama Mchungaji Lizzy dhambi inakuotea mlangoni yakupasa uishinde!!

Angalia usiharibu sherehe, sisi tupo hapa ukumbini. Huyo uporoto huyo???
Yani sijui katumwa!Maana ananifata kila niendako!
 
Lizzy asante sana kwa mapokezi mazuri! Kwa baba Mchungaji yupo gado kama mnavyoona mama mchungaji na shughuli zake

Welcome back bro. Rev.

Hivi vibano unavyopata kila mara nadhani vinakuimarisha, ingawa sikushauri kuendelea kuwa mkali sana katika baadhi ya mambo hadi unakula mi ban isiyo na maana.:roll:
 
Wamepumzika hapo Mama Mchungaji na Rev!

Attachments

  • Lizzy.JPG
    16.9 KB · Views: 51
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…