Lizzy asante sana kwa mapokezi mazuri! Kwa baba Mchungaji yupo gado kama mnavyoona mama mchungaji na shughuli zake
Hebu mpotezee haraka sana huyo! Mambo ni aje yaani nimejichokea hivi...... ngoja nipate supu fasta
Jamani LD si katoka jela huyo!Anahitaji muda kurecover!Wiki moja tu ya uji wa ulezi wenye maziwa ya haja na blueband kila asubuhi..supu au mtori mchana...jioni ugali wa nguvu kwa mchicha na samaki!Embu ngoja niwahi jikoni..yani hutamkumbuka baada ya wiki!Mama mchungaji mbona mchungaji kazeeka hivyo?
Mmmmh anahitaji matunzo ya ziada, jitaidi mama angu.
Jamani LD si katoka jela huyo!Anahitaji muda kurecover!Wiki moja tu ya uji wa ulezi wenye maziwa ya haja na blueband kila asubuhi..supu au mtori mchana...jioni ugali wa nguvu kwa mchicha na samaki!Embu ngoja niwahi jikoni..yani hutamkumbuka baada ya wiki!
Lizzy asante sana kwa mapokezi mazuri! Kwa baba Mchungaji yupo gado kama mnavyoona mama mchungaji na shughuli zake
naona umelete mvinyo wa kutosha..
karibu san Rev.
sasa ntarudi kuimba kwaya...
na kufundisha sunday school..
lol
Lizzy anakaba sana !
The Following 2 Users Say Thank You to Lizzy For This Useful Post:Haki nnayo...nia nnayo kwanini nisikabe!
hahahahahha lol
ntapiga magoti nianze kumwomba hahah lol
duuuhhAruhusu walau waumini wachache wawe wanafanya retreat na mchungaji!
We AD unafanya kazi kwasababu ya mchungaji au kwa nia ya kusambaza neno?Unanitia mashaka!
Mama mchungaji akiwa wapi?