mkonongo1938
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 1,990
- 2,398
Mmh basi wote tukalime tu mpunga.. Tumiliki ndinga kali na magholofaKilimo cha mpunga mkuu. Ndivyo ambavyo yeye husema.
Ndicho kilichobakia mkuu...Mmh basi wote tukalime tu mpunga.. Tumiliki ndinga kali na magholofa
Naww Ni Model.Makofi kwa models tafadhali [emoji122][emoji122][emoji122]
NdiyoHiyo BMW X6 ni ya Masanja?
Ndio, huoni pozi zake zote katanua miguueti dada alikuwa bikra huyu?
kwamba kitumbua kinauma au?Ndio, huoni pozi zake zote katanua miguu
Nilijua utamsema tu, kapata ulichokosa msifie ili milango yako ifunguliwe..!eti dada alikuwa bikra huyu?
ahahaaa inaitwa timing mkuu mimi nina kila kitu ninachotaka kwa sasaNilijua utamsema tu, kapata ulichokosa msifie ili milango yako ifunguliwe..!
Namimi Napenda Models. Fit. Petite. Slim. English Figure.Athletic Women.Mkuu unachembe'chembe za uwestern!! maana bongo mko wachache wanaume wengi yao chura. Makofi kwa models [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
acha wivu mkuu,Kwa jinsi walivyovaa Biblia Takatifu inatufundisha kuwa utaweza kuwatambua kama ni nkweli wachungaji wa Kanisa la Mungu au watumishi wa kitapeli. Hivi vitu havijifichi. Mtumishi wa Mungu haachi maswali na hata akijifanya kwamba hamfahamu Mungu atajulikana tu kuwa ni mtumishi wa Mungu. Kumbuka Petro alipojaribu kusema hamfahamu Yesu na akaanza kuondoka ila waliokuwepo wakasema kuwa hata anavyotembea inadhihirisha yeye ni mtu wa Kristo. Je kwa muonekano wa Masanja, yeye ni mtumishi wa Mungu aliye hai????
Kakandamizwaaakwamba kitumbua kinauma au?
Hamuishi kujitia moyo,,, shetani yuko very trick than u mdada kaa macho..!ahahaaa inaitwa timing mkuu mimi nina kila kitu ninachotaka kwa sasa
excuse me am not a christianHamuishi kujitia moyo,,, shetani yuko very trick than u mdada kaa macho..!
am soo happy am soo blessedHamuishi kujitia moyo,,, shetani yuko very trick than u mdada kaa macho..!
ahahaaa sidhani kama ilikuwa brand new! angalia tu uso toka siku ya harusiKakandamizwaaa
Number plate inasoma masanjaHiyo BMW X6 ni ya Masanja?
utakuwa shida haswa kusoma nje/kwenda nje ndiyo kuwa blessed [emoji15] [emoji15] utaacha usekeratare nini?am soo happy am soo blessed
Ukitoa Marekani na Uingereza ni nchi gani za nje ya Afrika zenye elimu nzuri ya degree?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji13] [emoji13]excuse me am not a christian
who is shetani?
usinichukulie poa
kama sio kubarikiwa nenda na weweutakuwa shida haswa kusoma nje/kwenda nje ndiyo kuwa blessed [emoji15] [emoji15] utaacha usekeratare nini?