Baba mchungaji na Mama mchungaji

Baba mchungaji na Mama mchungaji

Mkuu unachembe'chembe za uwestern!! maana bongo mko wachache wanaume wengi yao chura. Makofi kwa models [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Namimi Napenda Models. Fit. Petite. Slim. English Figure.Athletic Women.
Yani Nikiangalia Olimpic Roho Yangu Inasuuzika Sana.
Haswa Kwa Hawa Wanariadha Wamarekani Weusi Wakike Au Wajamaica Barbados Bahamas Etc.
I Be Like Now That Is A Woman.
Tumbo Limekatika Safi Kabisa.
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Kwa jinsi walivyovaa Biblia Takatifu inatufundisha kuwa utaweza kuwatambua kama ni nkweli wachungaji wa Kanisa la Mungu au watumishi wa kitapeli. Hivi vitu havijifichi. Mtumishi wa Mungu haachi maswali na hata akijifanya kwamba hamfahamu Mungu atajulikana tu kuwa ni mtumishi wa Mungu. Kumbuka Petro alipojaribu kusema hamfahamu Yesu na akaanza kuondoka ila waliokuwepo wakasema kuwa hata anavyotembea inadhihirisha yeye ni mtu wa Kristo. Je kwa muonekano wa Masanja, yeye ni mtumishi wa Mungu aliye hai????
acha wivu mkuu,
 
Back
Top Bottom