Baba mchungaji na Mama mchungaji

That is what I have been telling the guy. Let us not judge them by their looks but by their fruits. Sa ka mchungaji ndo kawa hivyo, kondoo zake je?
Luks is part of fruit.
Eve alipoona tunda hakusubiri tasting, immediately aliona linatamanisha.


Uchungaji kasomea wapi? Lini kahitimu.

Tanzania nzima ukiuliza hata kwa watoto, kuhusu profession ya Masanja utaambiwa ni comedian

Msifanye mchezo na wajasiriamali.
Mahaba yasiwapofushe makcho
 
Kwa hili Mungu atupe macho ya rohoni, Mungu hadhihakiwi...
 
Hapa vijana wengi sana wataumia wanatamani wangekuwa na maisha ya Masanja lakini ndiyo hvyo tena haiwezekani, ukipitia comment nyingi hapa watu wanamponda kupitia mgongo wa uchungaji wake!! Lakini tukubali jamaa katuacha mbali sana kimaisha ila nafasi ipo ya kupambana
 
Reactions: ram

Kwani aliyekwambiauchungaji lzm usomee nani?

You ppl ifike mahali muelewe,taratibu za kibinadamu sio si za Mungu!

Kuna ambao Mungu anawatumia tena kwa viwango vya juu sn na hawajasomea!..

Mungu anaweza kumtumia yyt anaemtaka bila kujali elimu!

#hiyo sio kwa masanja,nimeongele in general#
 

Kweli kabisa,upo sahihi!
Wivu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…