Baba mchungaji na Mama mchungaji

Baba mchungaji na Mama mchungaji

Masanja is an institution. Angalia hao vifamba waliojipanga hapo, hamna black hata moja ukiambiwa masanja ana bmw sio kwammba ni ule mpunga anaolima kule kyela peke yake au vitunguu maji anavyolima pale ruvu, there are pple behind him
 
Kwa jinsi walivyovaa Biblia Takatifu inatufundisha kuwa utaweza kuwatambua kama ni nkweli wachungaji wa Kanisa la Mungu au watumishi wa kitapeli. Hivi vitu havijifichi. Mtumishi wa Mungu haachi maswali na hata akijifanya kwamba hamfahamu Mungu atajulikana tu kuwa ni mtumishi wa Mungu. Kumbuka Petro alipojaribu kusema hamfahamu Yesu na akaanza kuondoka ila waliokuwepo wakasema kuwa hata anavyotembea inadhihirisha yeye ni mtu wa Kristo. Je kwa muonekano wa Masanja, yeye ni mtumishi wa Mungu aliye hai????
Utaotolea wapi, utumishi vitendo sio maneno
 
Masanja is an institution. Angalia hao vifamba waliojipanga hapo, hamna black hata moja ukiambiwa masanja ana bmw sio kwammba ni ule mpunga anaolima kule kyela peke yake au vitunguu maji anavyolima pale ruvu, there are pple behind him
Una uhakika gani kama ana mahusiano yoyote na hao watu?... Inawezekana wamekutana beach jamaa wameomba picha ya pamoja...usipende ku conclude vitu vingine kwa picha...na hizo inaonesha ni dalili kabisa za wivu tena wakike
 
Back
Top Bottom