Baba mkubwa kwa english anaitwaje?

Baba mkubwa kwa english anaitwaje?

Matata255

Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
78
Reaction score
9
Wanajamvi naomben jibu kwa anaefaham baba mkubwa kwa lugha ya kiingereza anaitwaje anijuze.
 
Kwa kiingereza MJOMBA; BABA MKUBWA wote hawa ni UNCLE....
 
Big father

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Msije sema anaitwa huge, mammoth, humoungous, giant, elephantic, and super daddy.
 
Back
Top Bottom