Baba mkubwa kwa english anaitwaje?

Baba mkubwa kwa english anaitwaje?

Vijana wapumbavu wa kitanzania, hivi ndivyo mnavyotumia muda wenu, hilo neno litakusaidia nini katika maisha yako, kujenga skill zako, hicho kiswahili chake kimekusaidia nini maishani mwako
 
nndondo usidhani watu wote ni wachovu kama wewe. Kuna muda wa kujifurahisha mwanangu. Watanzania si watumwa kama wewe ambaye hana tofauti na robot. Kama mwatuona hivyo kama wewe si mtanzania basi you can go to hell. Kama ni mtanzania basi umechelewa.
 
terabyte father au hapo si ndo mkubwa wa wote

Ancle ndo sahihi
 
mmh!mimi nadhani anaitwa The Big Show aka "The World's Largest Athlete" :A S embarassed:
 
Kizungu bana, utata mtupu!!!

Baba Mkubwa - Uncle
Baba mdogo - Uncle
Baba wa Kambo - Uncle
Buzi wake Mama - Uncle
Kaka yake Mama - Uncle
Mume wa Shangazi - Uncle
 
Vijana wapumbavu wa kitanzania, hivi ndivyo mnavyotumia muda wenu, hilo neno litakusaidia nini katika maisha yako, kujenga skill zako, hicho kiswahili chake kimekusaidia nini maishani mwako

Ni vyema kukaa kimya kama huna jibu la kumpa...!
 
Haha haha haaa...comments zinafurahisha. baba mkubwa si ni kaka ya baba, kwahiyo in inglish ni brother of father.
 
Back
Top Bottom