baba mkwe naomba unipunguzie posa

baba mkwe naomba unipunguzie posa

shikamoo baba mkwe pole na majukumu, mimi nataka kuoa mwanao ila naomba kupunguziwa posa kwa sababu zifuatazo


moja:mwanao ana zigo kubwa kwa hivyo atakua ananichosha tu tunapokua faragha sitofurahia ndoa yangu kiivyo Kwa sababu ya zigo lake


mbili:mwanao ni wa kawaida wala haendani na posa ulonipangia koo ningeomba unipunguzie walau kidogo ili tufanye biashara


tatu: mwanao ana tabia mbaya apo mtaani sifa mbaya zote ni zake kwa kifupi anachafua mtaa anasababisha mtaa mzima waonekane wahuni kwasababu ya ulamaya wake koo ata nikimuoa ntakua nakusaidia wewe maana ntakua nmekupunguzia matatizo hivyo Naomba unipunguzie posa



nne:mwanao hatakua na kazi yeyote ile zaidi ya tendo tu hivo siwezi kumchosha sana koo ningeomba posa iendane na matumizi nnayokwenda kumtumia


tano:mwanao anakwenda kunawiri tofauti na alivokua kwako huna kazi pension ulihonga koo umeshindwa kumuhudumia mwanao, hivyo basi Fanya kupunguza posa ili aje anawiri


NB:usimnyime mwanao haki ya kuolewa


jibu Kama baba mkwe.......... povu ruksa kama enzi za nyimwi na ikiuma jua dawa imeingia
Tia mimba.
Baba mkwe atakupa chombo bureeee bila hata riba
 
Back
Top Bottom