Baba mtakatifu Papa Francis na ujumbe wa amani na upendo huko Indonesia. Binadamu sote ni ndugu

Mkunazi Njiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2023
Posts
8,538
Reaction score
7,559
Wakatoliki na waislam wanasheherekea upendo na huruma ya Mwenyezi Mungu kwa binadamu huko Indonesia.

Makanisa na misikiti ni nyumba za Mwenyezi Mungu kwani ndani yake hutajwa sana.

Imamu mkuu na papa wamekumbatiana kwa upendo na utu mkubwa.

Papa alikuwa msikitini leo...

#Say No To Bigotry [emoji7]
#Say No To Racism[emoji7]

#Say No To Religious hatred[emoji7]
download%20(9).jpg
download%20(8).jpg
download%20(7).jpg
 
Hapo kesho utasikia wale Matapeli ISIS wamelipua watu halafu wanalazimisha wao kuwa ni waislamu .Jmaa wanatumia nguvu sana kulazimisha watu wao ni waislamu ila ukweli ni matapeli sio waislamu halisi .
 
Ni sawa uyasemayo ila kiukweli wapo masheikh wanawapotosha watu na watu wanaingia mkenge,,,nimeshaona kwa macho yangu kuhusu yale ya Mozambique nawajua vijana wengi waliokaivishwa imani wanavuka boda safari Mozambique kumpigania Allah
 
Mungu hapiganiwi watu wanajilinda wenyewe , hakuna kumpigania Mungu ni utapeli kwa sababu wanalipwa , pili vita ni makosa ya kuharibu makzi mpaka watu wasiohusika ...Hakuna mafundisho hayo .
 
Kwa upande wako unaweza kuamini hivyo ila hayo niliyokueleza yapo sana huku kwetu tabu inaanza kwenye tafsiri za aya
 
Hakuna ayah hizo ni lazima watu wakushambulie kwanza , huruhusiwi kuua mtu wala kujitoa muhanga .
 
Back
Top Bottom