Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji1787][emoji1787]Wenzio wanahubiri vita halafu wewe unawatag mambo ya religious fraternity!
Wa mchongo kivipi ?!![emoji44]Papa wa mchongo kuwahi kutokea
Eti papa mtakatifuWakatoliki na waislam wanasheherekea upendo na huruma ya Mwenyezi Mungu kwa binadamu huko Indonesia.
Makanisa na misikiti ni nyumba za Mwenyezi Mungu kwani ndani yake hutajwa sana.
Imamu mkuu na papa wamekumbatiana kwa upendo na utu mkubwa.
Papa alikuwa msikitini leo...
#Say No To Bigotry [emoji7]
#Say No To Racism[emoji7]
#Say No To Religious hatred[emoji7]
View attachment 3088124View attachment 3088125View attachment 3088126
Kima hakupaswa kuletewa imani, ona hili jinga la mwishoWaueni hao makafiri acheni kufanya nao urafiki
Unabisha nini mkewangu?Kima hakupaswa kuletewa imani, ona hili jinga la mwisho
Ni sawa uyasemayo ila kiukweli wapo masheikh wanawapotosha watu na watu wanaingia mkenge,,,nimeshaona kwa macho yangu kuhusu yale ya Mozambique nawajua vijana wengi waliokaivishwa imani wanavuka boda safari Mozambique kumpigania AllahHapo kesho utasikia wale Matapeli ISIS wamelipua watu halafu wanalazimisha wao kuwa ni waislamu .Jmaa wanatumia nguvu sana kulazimisha watu wao ni waislamu ila ukweli ni matapeli sio waislamu halisi .
Mungu hapiganiwi watu wanajilinda wenyewe , hakuna kumpigania Mungu ni utapeli kwa sababu wanalipwa , pili vita ni makosa ya kuharibu makzi mpaka watu wasiohusika ...Hakuna mafundisho hayo .Ni sawa uyasemayo ila kiukweli wapo masheikh wanawapotosha watu na watu wanaingia mkenge,,,nimeshaona kwa macho yangu kuhusu yale ya Mozambique nawajua vijana wengi waliokaivishwa imani wanavuka boda safari Mozambique kumpigania Allah
Kwa upande wako unaweza kuamini hivyo ila hayo niliyokueleza yapo sana huku kwetu tabu inaanza kwenye tafsiri za ayaMungu hapiganiwi watu wanajilinda wenyewe , hakuna kumpigania Mungu ni utapeli kwa sababu wanalipwa , pili vita ni makosa ya kuharibu makzi mpaka watu wasiohusika ...Hakuna mafundisho hayo .
Hakuna ayah hizo ni lazima watu wakushambulie kwanza , huruhusiwi kuua mtu wala kujitoa muhanga .Kwa upande wako unaweza kuamini hivyo ila hayo niliyokueleza yapo sana huku kwetu tabu inaanza kwenye tafsiri za aya