Baba Mungu wa Israel iwezeshe Leicester City Leo Usiku itoke sare ama iifunge Mancity

EEH MUNGUMUUMBA NCHI HIZI, ARDHI, ULIMWENGU NA WALIMWENGU PAMOJA NA TIMU ZOTE DUNIANI,TUNAOMBA LEO MANCITY APATE USHINDI MNONO NA MECHI YA MWISHO LIVERPOOL WAKALIE KITU CHENYE MCHA KALI HUKU CITY IKIPETA!
Mpaka sasa eeh Mungu unekuwa upande wa wengi,AMEEEEEN!

Mimi sio city by the way!
 
Fanya kazi wewe acha porojo.
Yani huko hapo kwa shem wako umeninginiza poumbou miguu sofani mnangangania rimoti na beki tatu. Mshukuru tu dada yako anakungia kifua. Shemeji yako kawafukuza ndugu zake wote Wadamu.

Unabugia tu na ku-hammer heavy meal madikodiko na marosoroso ndani ya friji. Kaka yako tu uswaz alikutoa baru. Mshukuru sana dada yako
 
Mungu mwenyezi muokoe Mdude dhidi ya madhalimu waliomteka wasimdhuru au kumpoteza kama ben saa 8 maana wewe unaweza kuliko wao. Ee Mungu mwenyezi uwapende zaidi watu hao ili waje kwako mbele ya haki.
 
Fanya kazi wewe acha porojo.
 
Kama mimi naiona hii game drawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…