Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huna tofauti Na Mtu Anaejiita Mchungaji Mashimo, Kwa Sababu Hata Yeye Anakesha Akiiombea Simba Ipoteze Mechi Zake ili Yanga Iwe Bingwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huna tofauti Na Mtu Anaejiita Mchungaji Mashimo, Kwa Sababu Hata Yeye Anakesha Akiiombea Simba Ipoteze Mechi Zake ili Yanga Iwe Bingwa.
Unasubiri meli eapoti!Mzuqa wanaJf
Mwenyezi Mungu muweza wa Yote shuka na uiwezeshe Leicester City washinde. Isaidie livaaa watwaee ubingwa.
Amen
Cc chaliifrancisco
Yani vibaya mno mkuuMzee huko scandinavian countries pia kumbe mnafuatilia soka
I didn't know that..Yani vibaya mno mkuu
Ameeeeen!😂😂😂😂mungu saidia man city leo hawa kuku wanaukame wa pumba na mashudu wakishiba watasumbua kuingia bandani.
AMEEN🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Yani huko hapo kwa shem wako umeninginiza poumbou miguu sofani mnangangania rimoti na beki tatu. Mshukuru tu dada yako anakungia kifua. Shemeji yako kawafukuza ndugu zake wote Wadamu.Fanya kazi wewe acha porojo.
Fanya kazi wewe acha porojo.Yani huko hapo kwa shem wako umeninginiza poumbou miguu sofani mnangangania rimoti na beki tatu. Mshukuru tu dada yako anakungia kifua. Shemeji yako kawafukuza ndugu zake wote Wadamu.
Unabugia tu na ku-hammer heavy meal madikodiko na marosoroso ndani ya friji. Kaka yako tu uswaz alikutoa baru. Mshukuru sana dada yako
Naungana na wewe bwana John kwa kweli kama leicester watahitaji msaada wangu nitawapaNini wewee myebusi
Kama mimi naiona hii game drawahame ya leo ni ngumu sana, na ndo gemu itakayompa City ubingwa ama kumnyima ubingwa, bila shaka kwa mtu km J'Madison na Vardy kwa upande wa Leceister hawatakubali kuutoa ubingwa kizembe, na mtu mfupi R'Sterling na Aguero nao hawako tayr kufanya uzembe. Ila kwa mtazamo wangu gemu naiona ni draw.