Baba Mungu wa Israel iwezeshe Leicester City Leo Usiku itoke sare ama iifunge Mancity

Baba Mungu wa Israel iwezeshe Leicester City Leo Usiku itoke sare ama iifunge Mancity

Man City wanastahili kuwa Mabingwa aisee ninyi ni wadhaifu tuu mnaweza mkaweka rekodi ya kucheza mechi mbili na barc msitikise nyavu zao huku mtaani tukiendelea kusema beki ya barc mbovu itakua kama Man u tuu...
 
Kabisa yaani adroo 2-2 na Liverpool captain Hendo anyanyue makwapa

Poleni sana wazee wa mikosi...City amebakiza one match nayo ni Briton...akishinda hiyo mechi ndio bingwa tayari.

Na leo jiandaeni kula goli 4-0...Messi anakuja kuwafundisha mpira unavyochezwa na si kutumia maguvu.

Namuombea Mo Salah kwa Mungu, apone haraka, arudi kazini...
 
Man City wanastahili kuwa Mabingwa aisee ninyi ni wadhaifu tuu mnaweza mkaweka rekodi ya kucheza mechi mbili na barc msitikise nyavu zao huku mtaani tukiendelea kusema beki ya barc mbovu itakua kama Man u tuu...

Walimcheka Man u baada ya kumpiga goli 1 IN and OUT goli 3...sasa kimewapata zaidi yao... tumewapiga goli 3 ugenini , na leo tunaeda kwao kuwamaliza kabisa kama sio 4, 5....Hii ndio Barca na sio Huddersfield
 
Uzuri ni kwamba mechi za mwisho za city na liva wanaocheza nao Hawapo Kwny kushuka daraja
 
Uzuri ni kwamba mechi za mwisho za city na liva wanaocheza nao Hawapo Kwny kushuka daraja
Wolves anataka kucheza europa, akipigwa everton akashinda basi ndio hivo tena

So lazima atakaza atoke na ushindi
 
ila kwa mwendo huu wa pre season sijui kama Liverpool itaingia top 4
 
Back
Top Bottom